Mkataba

Thibitisho

Mwaka

Mkataba wa kimataifa kuhusu ulinzi wa haki za wafanyakazi wahamiaji wote pamoja na familia zao – (Umoja wa Mataifa)

Mkataba kuhusu uondoaji wa aina zozote za ubaguzi dhidi ya wanawake - (Umoja wa Mataifa)

1984

ILO C181 – Mkataba wa Mashirika ya Uajiri ya Kibinafsi

ILO C097 – Mkataba wa Uhamiaji kwa Ajira (Haujajumuisha maelezo ya nyongeza ya I hadi III)

1965

ILO C143 - Mkataba wa Wafanyakazi Wahamiaji (Utoaji wa Ziada)            

1979

ILO C189 – Mkataba wa Wafanyakazi wa Nyumbani. 2011 (No. 189)

ILO C029 – Mkataba wa Kazi za Kulazimishwa (1930)

1964

ILO C105 – Mkataba wa Kukomesha Kazi za Kulazimishwa. 1957 (No. 157)

1964

ILO C095 – Mkataba wa Kulinda Malipo/Mishahara

Sources: Normlex; UN Treaty Collection