Maelezo yafuatayo ni ya kijumla kuhusu makubaliano ya nchi mbili ambayo Qatar imetia saini.

Moroko, 1981, Makubaliano ya kimataifa; inadhibiti kuajiriwa kwa wafanyakazi kutoka Moroko nchini Qatar.

Tunisia, 1981, Makubaliano ya kimataifa; inadhibiti kuajiriwa kwa wafanyakazi kutoka Tunisia nchini Qatar.

Sudan, 1981, Makubaliano ya kimataifa; inadhibiti kuajiriwa kwa wafanyakazi kutoka Sudan nchini Qatar.

Somalia, 1983, Makubaliano ya kimataifa; inadhibiti kuajiriwa kwa wafanyakazi kutoka Somalia nchini Qatar.

India, 1985, Makubaliano ya kimataifa; yanashuhudia ushirikiano wa ajira na kazi kati ya Qatar na India.

Ufilipino, 1997, Makubaliano ya kimataifa; yanahusu ajira na kazi za Wafilipino nchini Qatar.

Jamhuri ya Kiarabu ya Syria, 2009, Makubaliano ya kimataifa; Itifaki ya ziada huipa serikali ya Qatar haki za kumrudisha mfanyakazi ambaye muda halali ya kibali chake cha kazi umekamilika na pia iwapo tabia za mfanyakazi ni kinyume cha usalama na sheria za taifa.

Jamhuri ya Kiarabu ya Syria, 2008, Makubaliano ya kimataifa; Mkataba wa makubaliano unaodhibiti ushirikiano kati ya nchi hizi mbili kwa kubadilishana uzoefu, habari na tafiti katika; 1. Ukaguzi wa kazi; 2. Usalama na afya kazini; 3. Mahusiano ya kazi.

Sudan, 2001, Makubaliano ya kimataifa; Itifaki ya ziada ina dhibiti mambo ya uhamiaji wa wafanyakazi kati ya Sudan na Qatar. Unapatia serikali ya Qatar haki za kumrudisha mfanyakazi ambaye muda halali ya kibali chake cha kazi umekamilika na pia iwapo tabia za mfanyakazi ni kinyume cha usalama na sheria za taifa.

Jamhuri ya zamani ya Yugoslavia ya Makedonia, 2011, Makubaliano ya kimataifa; Yanaunda hali na utaratibu wa kuajiri na kazi za raia wa Makedonia nchini Qatar.

Jamhuri ya Uchina, 2011, Makubaliano ya kimataifa; Yanathibitisha mkataba unaoongoza utumiaji wa wafanyakazi kutoka Uchina, yaliyotiwa saini jijini Doha tarehe 23/06/2008.

Nepal, 2012, Makubaliano ya kimataifa; Inathibitisha tifaki ya ziada kuhusu makubaliano ya kudhibiti ajira kwa raia wa Nepal, yaliyotiwa saini jijini Doha tarehe 20/01/2008.

Gambia, 2012, Makubaliano ya kimataifa; Yanathibitisha mkataba unaoongoza utumiaji wa wafanyakazi kutoka Gambia, yaliyotiwa saini jijini Doha tarehe 05/05/2010.

Ethiopia, 2013, Makubaliano ya kimataifa; Mkataba wa kazi unaoongoza utumiaji wa wafanyakazi kutoka Ethiopia nchini Qatar.

Albania, 2015, Makubaliano ya kimataifa; Yanadhibiti kuajiriwa kwa wafanyakazi raia wa Albania nchini Qatar.