- Wafanyakazi wanapaswa kujua haki zao rasmi za kisheria kama likizo ya uzazi ya kulipwa (siku 60); masaa ya kazi yasiyozidi 8 kwa kila siku na 48 kwa wiki, likizo ya wagonjwa ya kulipwa; kiwango cha masaa 5 cha saa kwa kazi ya ziada. (Sheria ya kazi 1955).
- Mamlaka ya Maendeleo ya Uwekezaji ya Malaysia imetoa maelezo ya jumla juu ya ajira na huduma za viwanda, ujenzi, mashamba, kilimo na sekta ya usaidizi nyumbani na orodha ya nchi husika. Ni raia wa nchi hizi peke yake ndio waliokubaliwa kufanya kazi nchini Malaysia katika sekta zilizoorodheshwa.
- Wafanyakazi wa nyumbani kutoka nchi za kigeni lazima wawe raia wa nchi zifuatazo; Indonesia, Thailand, Cambodia, Philippines, Sri Lanka.
- Idara ya uhamiaji nchini Malaysia imetoa maelezo ya kijumla kuhusu stakabadhi za wafanyakazi wahamiaji/wa nyumbani, nchi zilizoidhinishwa, mchakato wa ombi, baada ya kuwasili na maelezo ya ugani.
- Njia muhimu za mawasiliano nchini Malaysia;
Organisation |
Contact |
Malaysian Trades Union Congress (MTUC)
|
MTUC-ILO MIGRANT WORKERS RESOURCE CENTRE (MRC)- MRC-central region (Selangor/Kuala Lumpur): Tel: (603)80242953 /(603)80242955 (O) Hotline : 016-2118024 Wisma MTUC 10-5,Jalan USJ 9/5T, Subang Jaya,47620, Selangor MRC –northern region (Penang):
Kongres Kesatuan Sekerja Malaysia (Malaysian Trades Union Congress) MRC Penang No 2965,Jalan Prai,Taman Inderawasih,13600,Prai,Pulau Pinang
MRC-southern region (Johor) Mohd Salleh Bin Ahmad(MRC Officer) 012-5238256 Kongres Kesatuan Sekerja Malaysia (Malaysian Trades Union Congress) MRC Penang No 2965,Jalan Prai,Taman Inderawasih,13600,Prai,Pulau Pinang https://web.facebook.com/MigrantResourceCentreMRC?_rdc=1&_rdr
|
Electrical Industry Workers’ Union (EIWU) |
Telephone number: -(603) 5633 5244 , (603) 5633 5243 Location: No55-2, Jalan SS15/8A , Subang Jaya 47500, Selangor
|
National Union of Drink Industry Workers Peninsular Malaysia |
Telephone number: (603) 9284 3846 Email: nudiwhq@gmail.com
|
National Union of Transport Equipment & Allied Industries Workers (NUTEAIW) |
Telephone number: 603-55192421 or 603-55193860
Location: No. 30 A, Jalan Utas A, Section 15, 40000 Shah Alam. Selangor Darul Ehsan
|
Archdiocesan Office of Human Development (AOHD) – Migrant Outreach Programme
|
Ms Josie 016 635605 |
Migrant 88 |
|
North South Initiative |
Adrian 012-2900756 , Anne 014- 2498003, (603 )79310741 (o) Location : A-2-7, Pusat Pwrdagangan Seksyen 8, 8/1 Jalan Sg. Jernih, 46050 Petaling Jaya, Selangor https://www.facebook.com/northsouthinitiative/ website: www.nsinitiative.net |
Migration Working Group |
Ms Sumitha Kishna 0126845091 |
Non Residents Nepali Association(NRNA) |
Khagindra Neupane 012 -4444312 |
Penang Diocese Migrant Ministry(PDMM) |
Peter Barnabas 014-3485733 |
Penang Stop Human Trafficking Campaign |
James 016 4846042 |
Persatuan Sahabat Wanita Selangor (PSWS)/ Friends and Women Organization
|
(603) 87378380 http://www.persatuansahabatwanita.org/ http://persatuansahabatwanita.blogspot.my/ |
TENAGANITA WOMENS FORCE |
(603) 77703671/ 91 Email: glorene.a@tenaganita.net /general@tenaganita.net Facebook: https://www.facebook.com/tenaganita/?ref=hl / |
Women’s Aid Organisation (WAO) |
: (603) 7956 3488 WAO Hotline or 018 988 8058 (SMS/Whatsapp) |