See this article for Falme za Kiarabu

Qatar (2012):

Makubaliano kati ya serikali ya Qatar na serikali ya Jamhuri ya Kenya kuhusu utaratibu na udhibiti wa kuajiri na utendajikazi katika nchi ya Qatar.

Saudi Arabia (2017)

Makubaliano kati ya serikali ya Jamhuri ya Kenya na Ufalme wa Saudi Arabia kuhusu kuajiriwa kwa wafanyakazi wa nyumbani.

Falme za Kiarabu (United Arab Emirates - UAE) 2018