Recruitment Advisor
Find the best recruitment agency for your job abroad

Kuhusu

Mshauri wa uajiri ni njia ya kuajiri na utaftaji wa ajira ulimwenguni, unakupa ufikiaji rahisi wa habari kuhusu wakala wa kuajiri na haki za wafanyikazi unapotafuta kazi nje ya nchi.  Washauri bora ni wafanyikazi wengine wenye uzoefu.  

Zaidi ya mashirika 10,000 ya kuajiri yameorodheshwa katika Mshauri wa Ajira (Recruitment Advisor). Unawezapata walivyosema kuhusu mashirika ya kuajiri kupitia kwa maoni yao.

Shiriki uzoefu wako kwa kukagua shirika lako la kuajiri ili wafanyikazi wengine waweze kupata habari zaidi kwa chaguo lao la kuajiri. Tunaamini kuwa mshauri bora wa kuajiri wafanyikazi ni wafanyikazi wengine ambao wana uzoefu wa kuajiri. Wewe ni mmoja wa washauri wetu wa kuajiri!